Sunday, May 31, 2009

Ngeli ya genge by Jua Cali


>

KENYAN LYRICS

NGELI YA GENGE
BY JUA CALI





LYRICS

Hapa tunacheza na maneno ehh
ngeli ya genge!

Naandika hii verse kaa niko na njaa,
Naenda kupika bila makaa,
Nawaita na mnakataa
Mnasema kanisa ina mavijana
Kushiba ni baada ya sala
Kuiba nayo siku hizi ni balaa
Utageuzwa kima namakusaga
Pika iive tunamanga
Skuma chumvi na kauganga
Chuma ngumi teke kadhaa
Boxer vumbi na makambaa
Toka nyuki asaki chang'aa
koma kumi utashangaa
Ama stima zitazima
Twende kwa kina farida
Jekke na kwa mafinger

Chorus x2

Nataka ukae poa ka akina
Fajia, halima na Eva
watoto wazuri ***
Ndoto nzuri huisha
Ka ume*** Zote kabisa
Ukasanya moto ukapatia
bahati mbaya ukashikwa
Mabati waya ukapigwa
Mashati za wanga zikaishia
Chukua zingine Uanze kupima
Vua pengine ni ya Peter
Beste yangu mtu wa shida
Hii mete ni yangu we tuliza
Unajua kifisi na hujaalikwa
Unapokea dishi na haijapikwa
Chakula ni mbichi na haijaiva
Tuma sister eastleigh manjiva
Lakini chunga vile atajivaa

Chorus x2

Mami nichuja na adida
Ma g-string shuka na ma***
Mambuyu kwao ni kushangaa
Dudu zao zinaamka
Njugu kibao wanatafuna
Mamadha huku wanashtuka
Hanya huyu utajuta
Kama sumu inaua
Maziwa iko tutakunywa
Kama njumu zinatupa
Kabisa tutakataa kuvua
matope kila mahali panguza
Polepole ngazi tunashuka
Pole kakazi yasumbua
Mwisho ganje itaiingia
Vitisho wangapi watasikia


Nenge damu eeh
california Au sio

Chorus x4

Beat ya Clemo, genge x2

If you have any lyrics requests, kindly leave a note thank you

No comments:

Post a Comment